moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Navyojua ushindi kwake ni mgumu, likini kutokana amsha amsha yake akifanikiwa kukipatia chama chake angalau wabunge 50 ni mafanikio kwa siasa za sasa.Hii picha ni ya leo/jana kweli kamanda?
Hakuna atakayefikia mtikisiko wa Eddo 2015. Wanaume walideki barabara na kulinda hoteli aliyokuwa akilala. Niliamini kabisa CCM kwishnei...ila tofauti kwa TL ni kuwa yeye ni mwongeaji na mjenga hoja mzuri. Kampeni zitawaka moto kweli kweli. Ngoja tuone na tuombe tu kila kitu kifanyike kwa amani [emoji1545]