Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400017400140_294519.jpg
 
Haijalishi umeishi kwa miaka mingapi ukijaribu kufanya kila kitu,bado hujachelewa baada ya kufahamu haya maarifa unaweza kufanya uamuzi na kujitafuta ili kujua kusudi la kuwepo kwako duniani na kuanza kuliishi kwa kufanya kitu au vitu vichache ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa ni mtu fulani maishani.
 
Back
Top Bottom