Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1595826190579.jpg
 
Anaitwa James Lewis Jackson raia wa Texas US ambaye February 2007 alinyongwa baada ya mahakama kujiridhisha kuwa alikuwa mhusika mkuu wa mauwaji ya mkewe pamoja na watoto wawili wa kike wa kufikia.

Mauwaaji hayo ambayo hata yeye mwenyewe alikiri kuyafanya alisema aliyafanya April 1997 kwa kumuuwa mkewe Sharonon (39) pamoja na mabinti zake wawili wa kufikia Ericka Mayes (18) na Sonceria Mayes (19).

Katika nyumba waliyokutwa ndugu hawa wamefariki kulikutwa karatasi iliyoandikwa na James mwenyewe iliyokuwa na maandiahi "Sikuweza kuijali na kuihudumia familia yangu, sikuwa na kazi, nimeamua kuwarudisha kwa Mungu, naamini Mungu atanielewa, nao watanielewa".

James alinyongwa mwaka 2007 alikwa na umri wa miaka 47.
 
Huu ni kama mnara au mwamba mkubwa unaopatikana nje ya mji wa Hulett, Wyoming US. Wanauita mwamba wa shetani au mnara wa shetani yaani Devil's Tower, urefu wake kwenda juu ni futi 867 sawa na mita 265.
 
Mwamba huu ulianza kutambulika rasmi kama moja ya vivutio vya taifa September 24, 1906 chini ya raisi Theodore Roosevelt. Historia haijaeleza hasa nini chanzo cha jina hili la Devil's Tower yaani mnara wa shetani, lakini lilianza kutumika mwaka 1875, mwanzo waliuita Bad God's Tower.
 
Alikua ameweka rekodi nyingi katika mchezo huo na aliona kama akifanikiwa kutua juu ya kilele cha mwamba huo pia atakua ameweka rekodi nyingine katika maisha yake, japo kuna taarifa zinasema kuwa aliwekewa dau la $50 ili afanye hivyo, aliwaalika wanahabari wachache tuu kushuhudia zoezi hilo
 
Historia inasema kuwa Fred alizaliwa Stone town au mji mkongwe Zanzibar, Tanzania mwaka 1946, na kutokana na harakati za mapinduzi ya Zanzibar miaka ya 1960 yeye na wazazi wake waliokuwa na asili ya India walihamia London Uingereza.
 
Back
Top Bottom