moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Zitafute pesa kwa nia njema ndiyo zitakuja kirahisi kamanda [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]mwamba katisha aiseeningendako umeviona vile viatu?[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najarbu kushare hapa pamoja na jina lake nashindwa... Ila unaweza ingia kwenye hyo link niliyoiattach hapo.. Halaf search "The Bureau S01" itakuja namna hiijina la series hujaweka
Kwaniaba ya kocha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
telegram siipati, nitajaribu hiyo ya torrentNajarbu kushare hapa pamoja na jina lake nashindwa... Ila unaweza ingia kwenye hyo link niliyoiattach hapo.. Halaf search "The Bureau S01" itakuja namna hii View attachment 1519742
telegram haipatikani, jarbu hiyo torrenttelegram siipati, nitajaribu hiyo ya torrent