Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1595826298756.jpg
 
Messiah...mimi mwenyewe sijawahi icheki japo trailer yake huwa inanivutia kuitazama,nmeiweka pending hii

The Bureau... Hii ya wafaransa.. Nakuwekea link muda si mrefu

Project zingine... Check hizi kama haujabahatika kukutana nazo, zipo njema sana
Tyrant
Agent X
Treadstone
Deep state
The Punisher
Homeland
The Americans
The Event
Bodyguard
Mcmafia
Berlin Station... Nenda nayo taratibu hasa season 01,ila baada ya hapo hautajutia kifurushi chako
Tyrant S4 lini?
 
Nyalandu agoma kumuachia nafasi ya Urais Membe; >>>"Nagombea urais kwasababu nina maono na nina azma kamili ya kuongoza Nchi kama Chama changu kikinipa hiyo fursa" "Niko hapa nagombea urais, sigombei ili kesho nimpishe mtu hizo zitakuwa ni siasa za kizamani sana" alisema Nyalandu
Alaumiwe yule mzee...
Hawa wote vibaraka,huu mchezo hauna tofauti na WWE ya kina Jonisina, matokeo yanajulikana wanaosumbuliwa akili zao ni wananzengo.
Hakukuwa na haja ya kuanzishwa vikundi vya kupingana na mpingwaji,... Mtei, Marando, Selasini, Seif,Cheyo... wapingwaji kwenda kupinga?!!! Mwakitwange,Sanga,Mtikila hawakuaminika... Ajabu sana.
 
Back
Top Bottom