Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ila huyu jamaa wangemsikiliza, mi sidhani kama analazimisha aachiwe yeye.Membe ana ego ya ajabu. Anataka kuachiwa agombee yeye kama nani? Si ajabu hata atataka Lisu amwachie. Ana sifa zipi ambazo wengine hawana? Ukachero ama? Pesa?
Membe ana ego ya ajabu. Anataka kuachiwa agombee yeye kama nani? Si ajabu hata atataka Lisu amwachie. Ana sifa zipi ambazo wengine hawana? Ukachero ama? Pesa?
[emoji16][emoji4][emoji847]Mdaka chozi nipo hapa nikubadlishie biashara [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]dah[emoji23][emoji23][emoji23]na kweli kabsa, hatuna tofauti na wajumbe, tunakuwa tunakucheki tu kama unapuyanga au upo sehem sahihi
Mashem shem
😂😂😂😂😂 ankoo nimecheka sanaShwaini zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijichanganya siku moja mitaa ya Keko Toroli, nikakutana na mama Muba ana bonge la tak, kwa jinsi alivyo kuwa anazungusha ikawa tofauti na wale wengine, nikaweka kambi hapo. Kila jioni ya hamu najitokea Sokota nakula chocho la mzee Temba (baba yake Mheshimiwa Temba) huyo makaburini natokea Wapiwapi's bar.
Siku nikamkaba aeleze anawazungushia wangapi hivyo? Akajibu ananipenda na yeye ni mzaramo wala hajiuzi. Ilibaki hiviiii [emoji108][emoji108]nimuoe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binti yangu pole sana, umeongea kwa hisia mno. Ungetuelewa sisi wazee mapema usingefikia kwenye hii hali ya kustressika... Kakijana kale ni kahuni, macho juu juu...
Uzee ni faraja ya nafsi ya mtu, usijitenge nasi.
Ukaribu wako kwetu furaha yako maishani.