Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nguvu ya jiwe
FB_IMG_1596024485757.jpg
 
Haya mambo yameshafika mpaka Afrika?

Kuna rafiki yangu Mjamaika ana binti yake yuko chuo kikuu anasomea uhandisi wa umeme. Tena binti kweli kweli siyo mchezo. Ni majuzi tu ndiyo nimegundua kuwa kumbe alizaliwa akiwa mvulana na hapo alipo bado ana mkuyenge. Ameshamaliza maandalizi yote na therapy za mwanzo (hormones, operesheni za kuweka matiti, kupandikiza msambwanda...); na sasa yupo anaomba kuchangiwa pesa huko GoFundMe ili aanze kufanya operesheni kamili ya kuondoa mkuyenge na kuweka kipochi manyoya ili awe mwanamke kamili. Na ana ndoto za kuolewa na kuwa na familia. Ndiyo dunia yetu hii [emoji51]
Astaghafilullah
Dunia imefika mahali pabaya kwa wale wamchao Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom