Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Just got married [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hawachi wapi upo?
Afadhali nimealikwaKAribu kwangu tukule pilau!
Ndiyo. Ni zuri sana!
Mimi sikuli nyama .. nitaanda kwa ajili yako 😃Afadhali nimealikwa
Akhsante
Huwa nakula pilau
Na nyama pia nakula [emoji847][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh pole sanaMimi sikuli nyama .. nitaanda kwa ajili yako [emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]View attachment 1521861
Zote pamoja ama moja wapo per menu?