myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uje home tuuchape wali wa wazi na kuku wa kienyejiHadi sasa uwanja wa mwaliko unasoma bila bila
0-0
Waislam humu ndani[emoji26],msinifanyie hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaki mzima.Habari zenyu?View attachment 1521774
"Ngono inafukarisha (kutia umasikini) na inapunguza umri"---- Rasul Muhammad 'saw'
"Zitafika zama watu wake watajiona kuwa wamevaa, lakini wako uchi"-- Rasul Muhammad 'saw'
Hujambo jirani kipenzi[emoji23]Hahahaha ndio namsubiri kusikia anataka kusemaje
Vyote kwa pamoja au kimojawapo[emoji4]Zote pamoja ama moja wapo per menu?
Kijana mpole Cole Williams habari za kupotea
Tatizo hadi niombe kualikwa[emoji120]Uje home tuuchape wali wa wazi na kuku wa kienyeji
Mimi hapaWapendwa karibuni nyumbani tufurahie Sikukuu hii ya kuchinja.
Mwenye utayari anijurishe nimuelekeze njia
Vizuri, sisi tupoNzuri sana Mzee wa pwani maisha Tu yanabana ila tumerejea
Hongera kwa ubingwa pia
Karibu nyumbani