moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kunikumbusha siyo kosa
Bro? Ni wewe? Karibu tena. Nafurahi kuona kuwa uko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Wakuu Wakuu, habari za wakati Huu Poleni na harakati za maisha
Sisi wote ni wasafiri
Bro? Ni wewe? Karibu tena. Nafurahi kuona kuwa uko salama. Tumshukuru Mungu bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1522056
Nimefurahi kukuona tena bro...Ni Mimi bro vipi hali habari za Uzima za masiku kadhaa
Wazima wote huko?
Wanakula good time tyuuh home lol, jomoneeeeeeh