Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu sio kiziwi kwamba Ukimuomba ukaona hakujibu sio kwamba hajakusikia.
kuna mawili either sio muda wake kukupa ulichoomba au ulichoomba hakikufai...

Na kama ulichoomba bado muda wake basi atakupa moyo wa subra, Na kama uliichoomba hakikufai basi atakuonesha kinachokufaa....Tuwe na Subra
 
Fanya uwezavyo katika maisha yako na haswa katika kundi la watu wako wa karibu uwe na walau mtu mmoja anayeweza kukuuliza maswali magumu, machungu na usiyoyapenda.Huyo ndio mhimili wako wa kukuepusha na kufanya makosa, maamuzi mabaya, na majut😵gopa sana kusifiwa sifiwa kila unachokifanya
 
"HUWEZI KUJUA THAMANI YA KILE ULICHONACHO MPAKA KIKUTOKE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…