mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wadau nipo nipo sana leo
Mimi nimempa HONGERA zote JK hasa jinsi alivyoimarisha DEMOKRASIA chini ya utawala wake.Watu walio fanya mambo huwa hawaelezei wanaacha mambo yazungumze. Itoshe kusema utawala wa JK ulikuwa bora kuliko maelezo.
Aisee huyu jamaa Yupo nchi ganiMimi nimempa HONGERA zote JK hasa jinsi alivyoimarisha DEMOKRASIA chini ya utawala wake.
Kuna mwandishi anaitwa Ansbert Ngurumo.
Bwana huyu alikuwa muhariri wa gazeti la TANZANIA DAIMA.
Ngurumo alitumia ukurasa wa mbele wa gazeti hilo kila jumapili kumtukana Kikwete.
Ngurumo alirusha matusi ya nguoni kwa JK, lakini JK mwenyewe alikuwa kimyaa.
Mwandishi yule kwakuwa alizoea kuishi maisha yaliyompa uhuru kumtukana yoyote, hivi leo yupo ukimbizini.
Pole Ngurumo.
Nadhani kiongozi wa nchi anatakiwa awe na subira za aina ya JK
Unajua mwanzo nilijua unatania sikuchukulia serious.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani Mkuu Nilipata hasara tena nilipiga ma k vant ya kufa kwa hasira nilizokuwa nazo aisee wajumbe wasikie tu kwa mwenzako hawana maana kabisa