Moto ulimuwakia akakimbilia kwenye ubalozi wa Finland nadhani lakini baadaye aliondoka nchini kama sikosei. Kwa sasa anaandikia magazeti ya "mabeberu" huko.
Ngurumo personally namfahamu. Ni mwandishi mzuri na mchambuzi wa mambo mengi sema tu ana jazba. Shida yake kubwa ni matusi. Ndiye alikuwa mtu wa kauli za akina Mnyika " JK ni kiongozi dhaifu"...mara nchi imemshinda. Amezidi upole. Kazi yake kucheka cheka. Vasco Dagama, mlea mafisadi, tunataka rais ajaye awe mkali, ni bora akiwa dikiteta kidogo...mpaka kuna kipindi aliropoka kuhusu mambo ya ushoga. Yeye na Kubenea waliyokuwa wakiyaandika mengine hayafai kusemwa hadharani. Mange Kimambi type...Lakini ndiyo demokrasia..I guess...