Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana. Hakuna sababu nyingine mbali na "ukatili" wa wajumbe? Hiyo kata yako walikuwa wanakufahamu? Uliwahonga pesa zako za K-Vant wakala na kura hawakukupa.

Ungekuwa kwenye darasa la Political Science ukaulizwa utaje sababu zako za kushindwa ungetaja sababu gani mbali na wajumbe? [emoji109]
Sababu moja tu kubwa muda wa mini nasi kwa raia na Wajumbe ulikuwa hakuna kabisa kumbuka waliokuwa wananafasi ya Kuongea na Wajumbe na wananchi ndani ya miaka mitano ni waliokuwa madarakani tu
 
IMG-20200731-WA0003.jpg
 
-Habari za uhakika kutoka Yanga zinadai kuwa Nahodha wa kikosi hicho Papy Tshishimbi Leo amerejesha fedha dola 30,000 (Milioni 69) za Klabu ya Yanga ambazo aliwekewa kwenye akaunti yake Kama Ada ya Usajili. Papy amedai kuwa Kama Yanga wanataka asaini mkataba wa miaka miwili wampe dola 50,000 (Milioni 116 za Kitanzania) na mshahara wa milioni 12 kwa mwezi.
 
Back
Top Bottom