[emoji257]Kisa
Mke:Mme wangu nikifariki utasubiri muda gani hadi uowe mke mungine?
Mme:Hadi udongo wa kaburi lako utapo kauka
Mke:Unaniahidi hivyo??!!
Mme akatabasamu akasema ndio.
Baada ya kufariki mke,mme akawa akiitembelea kaburi ya mkewe kila siku hadi mwaka ukakamilika kaburi ya mkewe bado udongo ni mbici hauja kauka!!!
Siku nyingine mme alipokwenda makaburini jioni,akamkuta kaka wa mke wake (shemeji)makaburini akamuuliza:
Shemeji,unafanya nini uku??
Shemeji:Natekeleza wasia wa dada yangu kaniambia kila baada ya siku mbili niwe nauroweka udongo wa kaburi lake.