mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morng
[emoji23][emoji23][emoji23]Sina maumivu maana sikugombea.Aaa wapi. Tumpe muda maumivu yapungue atafunguka tu. Tena yeye Ostaadh hata ma K Vant hatumii maumivu yake sipati picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Sina maumivu maana sikugombea.
Kama ningejaza fomu na kushindwa nisingeumia maana sikuwa tayari kugharamika.
Nisingehongaà
1985 ni muda mrefu kamanda.Mvua 73...Muda unakimbia sana. Huyu mwamba kacheza Commando juzi juzi hapa 1985 akiwa kijana mdogo leo hii kibabu....
View attachment 1524099