andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mwakyembe katusumbua sana Kyela, matusi yake ya hovyo hovyo tu, "mara ohh mnataka maji ya bomba kuna umbali gani kuchota mtoni? Wamama mmekuwa wavivu hata kuoga mnashindwa?!! Uchafu wenu ndio ulio nifanya nisioe huku,nimeoa mchaga...." Walimuapia hatapita uchaguzi huu,mapema kabisa kaliwa ndani ya chama.Awamu ya JK ilikua ngumu sana kwa raia daraja la mwisho