Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uchoyo tu
IMG-20200731-WA0000.jpg
 
Daa, tukio lako linafanana kidogo na la kwangu.
Nilifuatwa nikaikomboe kata furani mkoa wa Pwani kutoka kwenye makucha ya mungumtu furani.
Lakini majukumu yalitatiza, niliishia kutia nia lakini sikubahatika kuwahi kujaza fomu.
Nadhani ningevuruka viunzi vya wajumbe
Yaani nyie wazee kumbe wengi mlikuwa kwenye huo mlengo? Hata huyu mzee wa suruali za vitambaa ho chi minh kuna uwezekano mkubwa alitia nia wajumbe wamemla kichwa, amekuwa mpole sana siku hizi
 
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amewaambia Raia wake watumie petrol kusafisha barakoa(mask) huku akiwasisitizia kwamba ushauri wake huo sio mzaha, Duterte amesema dawa za kuua vijidudu zikikosekana, petrol itumike kama mbadala ila Wataalamu wa afya hwamesema ushauri huu haufai.
 
Wamarekani wanaitaja TikTok kuwa tishio kwa usalama wakidai Serikali ya China inautumia mtandao huo kudukua na kufuatilia mawasiliano ya Raia wa Marekani na maeneo mengine na huenda ukatumika kuingilia chaguzi,hii inatajwa kuwa moja ya sababu za Trump kuipiga marufuku Tiktok USA.
 
Rais Trump amesema jumamosi hii ataufunga rasmi mtandao wa TikTok (Mtandao wa ambao unamilikiwa na Wachina) na kamwe hautotumika Marekani, Trump amesema mamlaka ya kuizia anayo na hataki Kampuni za Marekani zinunue mtandao huo (baada ya Microsoft kuonesha nia ya kuinunua TikTok)
 
Wamezidiwa sasa wanatumia nguvu. Mchina walimdharau kuwa ni mtu wa kukopi na kupesti tekinolojia za watu kumbe mwamba anajifunza. Wamekuja kukumbuka shuka kumekucha Mchina yuko mbali kwenye baadhi ya techs mf. 5G na mengineyo. Hata wameanza kusema kuwa kamwe hawatazisaidia nchi masikini zitakapoelemewa na mzigo wa madeni ya China. Utafikiri huko nyuma walikuwa wanazisaidia.

Kukatazwa kutumia Tik Tok vijana wamenuna balaa ...
 
Yaani nyie wazee kumbe wengi mlikuwa kwenye huo mlengo? Hata huyu mzee wa suruali za vitambaa ho chi minh kuna uwezekano mkubwa alitia nia wajumbe wamemla kichwa, amekuwa mpole sana siku hizi
Ndiyo wanafunguka sasa. Si ajabu hata huyu bilionea wa madini na utalii naye kapigwa. Shikamoo wajumbe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom