Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-08-02 Instagram(1).png
 
Kuna jamaaa alinunua trekta la hiyo ampuni na alinunua kiwandani hapa dar yeye akenda nalo hukoooo morogoro aiseee ilikuwa pasua kichwa kwa maana haikuwa na rejeta kwa maana ikilima ekari 5 imechemka yaani spea ni shidaa baadae kuna Fundi aliweza kufunga rejeta lkn tayali trekta ilikuwa ishachoka ,hizo zinatengenezwa afrika kusin

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Trekta ni John Deer au Ford
 
[emoji257]Kisa

Mke:Mme wangu nikifariki utasubiri muda gani hadi uowe mke mungine?

Mme:Hadi udongo wa kaburi lako utapo kauka

Mke:Unaniahidi hivyo??!!
Mme akatabasamu akasema ndio.

Baada ya kufariki mke,mme akawa akiitembelea kaburi ya mkewe kila siku hadi mwaka ukakamilika kaburi ya mkewe bado udongo ni mbici hauja kauka!!!

Siku nyingine mme alipokwenda makaburini jioni,akamkuta kaka wa mke wake (shemeji)makaburini akamuuliza:

Shemeji,unafanya nini uku??

Shemeji:Natekeleza wasia wa dada yangu kaniambia kila baada ya siku mbili niwe nauroweka udongo wa kaburi lake.
Hahahahahaha, shwaini kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
#UNAAMBIWA Mrembo Su Naing mwanafunzi mwenye miaka 23 kutoka Myanmar ana ndoto za kuingia kwenye kitabu cha rekodi za Dunia (Guinness World Records) kwa kuwa Mwanamke mwenye kiuno chembamba na chenye muonekano mzuri zaidi Duniani (Tiny Waist), kiuno chake kina Inch 13.7 na rekodi hiyo Duniani kwa sasa inashikiliwa na Ethel Granger wa Uingereza mwenye kiuno chenye Inch 13.
•
“Najisikia raha kupost picha zikionesha kiuno changu kizuri (kiuno nyigu) wengi wanakisifia hasa Wanaume wanakipenda kweli, ila wachache wanasema nimefanya upasuaji kukata utumbo au kutoa mbavu lakini hapana ni mazoezi tu na diet, wengine wanadai naedit picha hapana hii original napambana kiwe kidogo zaini niweke rekodi ya Dunia”- Su Naing
•
Vipi Warembo wangu wa Tanzania hatuna wa kutuwakilisha kwenye huu mpambano wa hii rekodi ya Dunia?, kama yupo tumpe Tag zake hapa chini aongeze juhudi za diet na mazoezi [emoji28]
FB_IMG_1596372834080.jpg
 
Back
Top Bottom