Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Trekta ni John Deer au Ford
 
Hahahahahaha, shwaini kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
#UNAAMBIWA Mrembo Su Naing mwanafunzi mwenye miaka 23 kutoka Myanmar ana ndoto za kuingia kwenye kitabu cha rekodi za Dunia (Guinness World Records) kwa kuwa Mwanamke mwenye kiuno chembamba na chenye muonekano mzuri zaidi Duniani (Tiny Waist), kiuno chake kina Inch 13.7 na rekodi hiyo Duniani kwa sasa inashikiliwa na Ethel Granger wa Uingereza mwenye kiuno chenye Inch 13.
•
“Najisikia raha kupost picha zikionesha kiuno changu kizuri (kiuno nyigu) wengi wanakisifia hasa Wanaume wanakipenda kweli, ila wachache wanasema nimefanya upasuaji kukata utumbo au kutoa mbavu lakini hapana ni mazoezi tu na diet, wengine wanadai naedit picha hapana hii original napambana kiwe kidogo zaini niweke rekodi ya Dunia”- Su Naing
•
Vipi Warembo wangu wa Tanzania hatuna wa kutuwakilisha kwenye huu mpambano wa hii rekodi ya Dunia?, kama yupo tumpe Tag zake hapa chini aongeze juhudi za diet na mazoezi [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…