Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15960676677484030.jpg
 
Hahaha miaka 60 ya uhuru bado tunapiga marktime
Inashangaza sana, Ujerumani walitawala Tanganyika miaka 40 tu lakini walijenga reli kilometa kadhaa, walijenga bandari, walitoboa njia mpya, baadhi ya maeneo waliangusha milima ili wajenge barabara, walijenga madaraja kibao.
Sisi wenyewe miaka 60 ya uhuru tumebaki kulaumiana tu
 
Hii imenikumbusha kisa kimoja kiliwai tokea kijijin kwao mzee, mama na mtoto walienda kuronga kwenye nyumba ya mzee moja, yule mzee akawakamata mama akabahatika kukimbia akamuacha mtoto wake wa kike pale, yule mzee ata wala akuangaika kuita watu alichofanya akamuinamisha pale pale akala papuchi had asubuhi ndio akamuachia haende kwao
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom