Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha miaka 60 ya uhuru bado tunapiga marktime
Inashangaza sana, Ujerumani walitawala Tanganyika miaka 40 tu lakini walijenga reli kilometa kadhaa, walijenga bandari, walitoboa njia mpya, baadhi ya maeneo waliangusha milima ili wajenge barabara, walijenga madaraja kibao.
Sisi wenyewe miaka 60 ya uhuru tumebaki kulaumiana tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…