Washindi wa kombe la FA Arsenal wanamlenga beki wa kati wa Brazil Diego Carlos huku Mikel Arteta akipanga marekebisho makubwa msimu ujao. (Telegraph - subscription required)
Arsenal itatoa ofa kwa mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 31, wiki hii ya pauni milioni 250,000 kwa wiki katika makubaliano ya miaka mitatu kuendelea kusalia kwenye klabu hiyo. (Mirror)