Adolf Hitrel katika maisha yake ameuwa zaidi ya wazungu Million 6. King Leopold II ambaye alishawahi kutawala Congo ameuwa Waafrika zaidi ya Million 16.
Katika wilaya ya Madhya Pradesh nchini India polisi wanaofuga masharubu (moustache), wanalipwa mshahara mkubwa tofauti na wasiofuga . Sababu wanaamini polisi wenye masharubu ni wenye heshima zaidi.