moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Raha sana pale unaporithi cheo cha aliyekua boss wako aliyekunyanyasaTwende ukanikahidhiView attachment 1526259
Hawa wajumbe sijui hizi pesa wamezitumiaje yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kala pesa za watiania View attachment 1526156
Dae ugali bana ntakuvamia ndoto ooohooo chezea nguvu ya mystic pop up barKama unaitwa Numbisa, unasoma UDSM na registration number HNU/D/2017/0045 kuna mtihani wako nimeuokota hapa karibu na Pest Management,una michoro michoro na maelezo mengi umepata 18/100. Halafu mwandiko hauridhishi dadaaa.
Daah Sawa naisubiria tagKuna uzi wa umbea umekupita kule ngoja nikakutag![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kosa kama hilo adhabu ya kifo!!!!Korea Kaskazini, hukumu ya watazamaji wa video za ngono ni kifo.
"A" yenyewe anza na 1 mpaka 99 siioni popoteKama utaandika namba kwa maneno (One, Two, Three, n.k) katika lugha ya kiengereza, hutokutana na herufi "B" mpaka utakapoifikia namba Billion.