Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kila mtu ana umuhimu wake.....
Kweli tupu [emoji109][emoji109]Kila mtu ana umuhimu wake.....
Manji yupo Marekani ameuguza majeraha yake amepona, ameamua kupumzika anasubiri baada ya miaka mitano anarudi aanze upyamasikini, yule bilionea yussuf manji ameishia wapi?
nguvu ya serikali inafurahisha na pia inaogopesha sana ndio maana wajinga wengi hujisahau na kuishia kuwa madikteta na werevu wengi huishia kuwa viongozi bora na wakuheshimiwa
Manji yupo Marekani ameuguza majeraha yake amepona, ameamua kupumzika anasubiri baada ya miaka mitano anarudi aanze upya
Automatically a muthafvcker
👏🏼👏🏼 Freshi kabisa.Salaam mkuu
👏🏼👏🏼 Freshi kabisa.Salaam mkuu