Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeanza kurudia majina bila shaka umefika mwisho wa reli sasa. Hili la mwisho sijui Gratuity Tuci hata wiki halikumaliza [emoji16][emoji16][emoji16]

Nami nataka nibadili aisee. Hii Shimba hii imenichosha [emoji51][emoji51][emoji51]
Weka ngosha thedon ila ujiandae kupelekwa na don namilison kwa kisingizio cha kuiba jina lale ladon
 
Hapa ndipo uroho wa wanasiasa utaonekana. Membe na Zitto wake wakifika bei tu basi watapiga mabilioni halafu membe atagombea na kuchukua kura za kusini na pengine Kigoma huko na Zanzibar (Maalim's effect), Lissu atachukua za Kaskazini na mchezo kwisha. Watu wanatajirika aisee sisi tunawapigia makofi tu [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…