Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole sana, You will be Okay.
If You need a shoulder to lay on I will be here. Dont hesitate.
Me after see your text and gain my happy mood[emoji3]
20200417_175145.jpg
 
Obote, Nyerere, Seseseko.

Wakati rais lazima awe na kifimbo cha mpingo View attachment 1526501
Vifimbo hivi vilikuwa vinasemekana ni vya mauza uza na ushirikina. Hicho cha Nyerere ati aliwahi kukisahau UK wakajaribu kukinyanyua kikawashinda mpaka wakamuita mwenyewe akarudi kukichukua.
 
Back
Top Bottom