myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli...Maisha jinsi yalivyo hivi sasa hata kama una elimu ngazi ya PhD lazima upambane ili kujinasua kwenye ulofa.
Adidas wamezingua kwenye huu uzi
TID anawadai msemo wakeKama vipi, nami niungane na Mzee Nyalandu kuwaomba wana LIKES wote tuungane kumchagua LISU Rais wetu ili tujenge Tanzania moja Amazing! #NIYEYE
Tunafanyaje sasa? Na huwa sipendi hiyo mistari inapita begani napenda zile plane!Adidas wamezingua kwenye huu uzi
Huyo mjinga tu .. na nadhani uongozi ukusudie kuachana na huo msemo tunapoelekea kampeni. Tuone kama itapunguza nguvu na morali katika uchaguzi huu.TID anawadai msemo wake
Nimependa sana nilichosoma hapa! Nanua wazo lako Cole.Uzi Uko powa tu kadri utakavyouona mara kwa mara utauzoea na kumuelewa zaidi