Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200801_145602.jpg
 
Kwangu kangeshika adabu niwe mgeni au mzazi wake nakapa discipline ya nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi watu wa kanda ya Ziwa nawaaminia sana kwenye malezi.
Kwenye malezi hampendagi mchezo mchezo.
Mambo ya kudekezana yapo sana maeneo ya mijini, hasa hasa huku Pwani.
Watoto wengi hawana adabu maana hata wazazi wao nao hawana maadili mema
Lakini ushapata mtoto au...
Maana usiseme hivyo ukijapata uncle wetu nawe ukawa kama wao[emoji23][emoji23]
 
Hahahah huku bana hakuna mlegezo japo wale wa mommy daddy hawakosekani kuharibu mambo. Unaweza kuta vitoto vinagombana unaviamua na vinatii na salamu juu.
 
Back
Top Bottom