mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Asante sanaGr8 tumekumiss sana Karibu tena
Nilitia nia kwenye udiwani Wajumbe sio watu wakanipiga spana nilipata Kura mbili tuAsante sana
Niliwakumbuka sana wazee wa likes kwakweli
Kwema carba, tulikumissAlhamdulillah ninge
Kwema?
[emoji1787][emoji1787]Unamuuliza muuza duka la dawa kondom kwa sauti ya chini anakujibu kwa sauti ya juu "kondom zimeisha" mpaka wateja wengine wanageuka kukukodolea mimacho [emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
Dimpoz ni ulemavu
HahahahaMkazi wa Mbagala Rangitatu
View attachment 1528032
Muhimu Sana abaki huyuPaul Pogba amefuta presha ya kuondoka Man United baada ya timu hiyo kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao na ameshangilia jambo hilo. Hivyo, atakuwepo Old Trafford.
Hahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1527951
Hahahaha*Kuna baadhi ya wahudumu Ni ngumu sana kuuona ufalme wa Mbingu. Unamuuliza kwa sauti ya Chini yeye anakujibu kwa Sauti HAKUNA CHUMBA CHA ELFU 10* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]