moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wewe ndiye mwalimu Mkuu wa uzi huu.Bro na moud wakiamua kufunguka kwa busara huwa wanafunguka kweli bila kukusahau anko nawe upo vizuri
Uwepo wako hapa unatupa elimu kubwa
Wewe ndiye mwalimu Mkuu wa uzi huu.Bro na moud wakiamua kufunguka kwa busara huwa wanafunguka kweli bila kukusahau anko nawe upo vizuri
Usicheze na Neema [emoji16][emoji16][emoji16]Namalizana nae halafu narudi kutubu tena ili neno la kusamehewa 7*70 litimie...
Akina Chumila wale walikuwa wadogo sana. Walikuwa wananipa shikamoo na kaka mkubwa za kumwaga...[emoji125][emoji125][emoji125]nikiikumbuka stori ya Edward Chumila na nani yule sijui nikikompea na 75 yako najikuta napata nguvu ya kurudi shambani kuvuna maparachichi yangu...
Unaandika gazeti lote hilo halafu unajibiwa K [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Mimi umenijaa ujinga wa makorokocho ya misambwanda tu, lakini ukikutana na gazeti la Dae unawaza mara mbili mbili kuwa huu uzi umekusanya mijamaa misomi halafu haina stress za kisiasa... Tangu nigundue hivyo maujinga yangu nimeyahamishia MMU...View attachment 1527977
Nami nimo kula likeUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Aiseee cheo kikubwa sana hiki. AsanteWewe ndiye mwalimu Mkuu wa uzi huu.
Uwepo wako hapa unatupa elimu kubwa
[emoji1787][emoji1787]Unamuuliza muuza duka la dawa kondom kwa sauti ya chini anakujibu kwa sauti ya juu "kondom zimeisha" mpaka wateja wengine wanageuka kukukodolea mimacho [emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089]*Kuna baadhi ya wahudumu Ni ngumu sana kuuona ufalme wa Mbingu. Unamuuliza kwa sauti ya Chini yeye anakujibu kwa Sauti HAKUNA CHUMBA CHA ELFU 10* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AminJioni iwe ya amani na upendo
AminJioni ya furaha na utulivu...