Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Masikini Arsenal...Parefu. Kutoka Liverpool hadi Man City kuna pointi 18, parefu pia. Lakini, kwa Arsenal ni parefu zaidi. Kwa pointi 56 walizokusanya, Arsenal wapo karibu na timu iliyoshika mkia, Norwich City kuliko kuwafikia mabingwa Liverpool. Arsenal na Norwich zimetofautiana pointi 35.
Hapana muda hapo...patavunjika 😂 😂
Mwenyewe anadai kakonda sana siku hizi....[emoji16][emoji16]Hapana muda hapo...patavunjika [emoji23] [emoji23]
Duh! basi alikuwa mzigo "baabkubwa"Mwenyewe anadai kakonda sana siku hizi....[emoji16][emoji16]
Hahahah wanasiasa sio kabsaHahahaha leo ninge upo kwenye mood ya kipekee
Kweli kabsa ankoo.. Uzi huu umejaa busara za kila aina,watu wakiamua kufunguka basi tunapata chakula ya ubongo safi kabsa..Huu uandishi wa namna hii kuna muda unahitajika sana hapa. Gazeti likiandikwa kwa tafakuri hata likiwa refu sana huvutia kulisoma....
mzee wa pwani
JIRANI
ningendako
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa
capitalpool
Yegomasika
mzee wa liver
......
......
Elimu yenu ni muhimu kuimwaga hapa wengine tunufaike
Mimi umenijaa ujinga wa makorokocho ya misambwanda tu, lakini ukikutana na gazeti la Dae unawaza mara mbili mbili kuwa huu uzi umekusanya mijamaa misomi halafu haina stress za kisiasa... Tangu nigundue hivyo maujinga yangu nimeyahamishia MMU...Bro na moud wakiamua kufunguka kwa busara huwa wanafunguka kweli bila kukusahau anko nawe upo vizuri
[emoji125][emoji125][emoji125]nikiikumbuka stori ya Edward Chumila na nani yule sijui nikikompea na 75 yako najikuta napata nguvu ya kurudi shambani kuvuna maparachichi yangu...Jamani poti. We si uko hapa? Njoo PM uhakikishe poti [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Na yale mambo ya wakubwa je? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungetudanganya hata kidogo kuwa inaongeza,wazee tungewahi sokoni haraka sana kabla geti halijafungwa[emoji1][emoji1][emoji1]Yale mazoezi tu hahaha
Namalizana nae halafu narudi kutubu tena ili neno la kusamehewa 7*70 litimie...
Tunajifunza mengi hapa.Huu uandishi wa namna hii kuna muda unahitajika sana hapa. Gazeti likiandikwa kwa tafakuri hata likiwa refu sana huvutia kulisoma....
mzee wa pwani
JIRANI
ningendako
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa
capitalpool
Yegomasika
mzee wa liver
......
......
Elimu yenu ni muhimu kuimwaga hapa wengine tunufaike
Mungu ni mwema Ankoo, tuendelee kumtegemea kwa kila jambo ili tuweze kuyafurahia mema ya dunia yetu hii nzuri japo tunaifanyia vitimbi vya kila aina.... Nina hofu siku ikiamua kuzira na kujipindua itakavyo...Kweli kabsa ankoo.. Uzi huu umejaa busara za kila aina,watu wakiamua kufunguka basi tunapata chakula ya ubongo safi kabsa..
Kwema hapo nyumbani ankoo?salamu zangu zifikishe..
Kuna siku nilikuona kwa mbali mitaa flan hivi, niliishia kucheka tu.. Hekima na busara zako zinahitajika sana hasa kwa kizazi hiki tulichopo..