Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bournemouth imetolewa Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya kucheza kwa msimu tano mfululizo.
Mpaka sasa haijajulikana, ingawa nimeona kipande cha Al Jazira wanadai ghala la silaha la kundi la kidini la Hizbullah limelipukaTatizo ni nini hasa?
Bado mgonjwa. Kimwili na hasa kisaikolojia. Inabidi atafutiwe mabingwa wa saikolojia/akili kuweza kumsaidia. Amepitia magumu sana kwa miaka hii mitatu. Ana hasira. Jazba. Na kujiona kuwa yeye ndiye yeye. Kuropoka kwa kila jambo. Wamsaidie. Kuanzia mwonekano mpaka approach. Atulie kidogo. Atafakari. Japo hatashinda naamini ataleta msisimko japo hautafikia ule wa mamvi 2015. Na cha muhimu zaidi, azingatie sana amani na utaifa wetu. Aliokuwa anawabembeleza watunyime misaada siyo watu wema hata siku moja....
View attachment 1527793
Huu uandishi wa namna hii kuna muda unahitajika sana hapa. Gazeti likiandikwa kwa tafakuri hata likiwa refu sana huvutia kulisoma....Kwamba hawezi kupata ushindi ni dhahiri.
Ataleta ushindini, ila lililo la muhimu kwake ni kuyapokea matokeo ikibidi kuyakubali.
Hata hivyo chaguzi hizi zina mawakala, wakati mwingine taarifa za mawakala wako zinakupa picha kuwa umepata USHINDI. hapa ndipo panapoleta shida.
Serikali iendeshe uchaguzi bila upendeleo ili kumaliza mchakato huu kwa AMANI
Inawezekana kabisaWanasema ni bohari/karakana ya wanaume wa Hezbollah imepata mushkeli...
Pole zao na Molla Awarehemu.
Bro na moud wakiamua kufunguka kwa busara huwa wanafunguka kweli bila kukusahau anko nawe upo vizuriHuu uandishi wa namna hii kuna muda unahitajika sana hapa. Gazeti likiandikwa kwa tafakuri hata likiwa refu sana huvutia kulisoma....
mzee wa pwani
JIRANI
ningendako
SHIMBA YA BUYENZE
Numbisa
capitalpool
Yegomasika
mzee wa liver
......
......
Elimu yenu ni muhimu kuimwaga hapa wengine tunufaike
Aaah sawa nilidhan wanachapana wao kwa waoMpaka sasa haijajulikana, ingawa nimeona kipande cha Al Jazira wanadai ghala la silaha la kundi la kidini la Hizbullah limelipuka
😂😂😂Wenyewe hawataki kusikia hilo...Wameanza kuzeeka kabla hawajaupata ujana View attachment 1527408
Duh!!Jamani poti. We si uko hapa? Njoo PM uhakikishe poti [emoji16][emoji16][emoji16]