Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,681
- 12,444
Blood shed
Mashaallah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani, umri huo bado unatamani uhalifu.
Wajanja wawili wapo kapu moja.Zitto mjanja sana....
View attachment 1527801
MmmhhhhWakenya....
View attachment 1527810
Amekaa kipigaji pigaji tuZitto mjanja sana....
View attachment 1527801
Asante broBado mgonjwa. Kimwili na hasa kisaikolojia. Inabidi atafutiwe mabingwa wa saikolojia/akili kuweza kumsaidia. Amepitia magumu sana kwa miaka hii mitatu. Ana hasira. Jazba. Na kujiona kuwa yeye ndiye yeye. Kuropoka kwa kila jambo. Wamsaidie. Kuanzia mwonekano mpaka approach. Atulie kidogo. Atafakari. Japo hatashinda naamini ataleta msisimko japo hautafikia ule wa mamvi 2015. Na cha muhimu zaidi, azingatie sana amani na utaifa wetu. Aliokuwa anawabembeleza watunyime misaada siyo watu wema hata siku moja....
View attachment 1527793
Kwamba hawezi kupata ushindi ni dhahiri.Bado mgonjwa. Kimwili na hasa kisaikolojia. Inabidi atafutiwe mabingwa wa saikolojia/akili kuweza kumsaidia. Amepitia magumu sana kwa miaka hii mitatu. Ana hasira. Jazba. Na kujiona kuwa yeye ndiye yeye. Kuropoka kwa kila jambo. Wamsaidie. Kuanzia mwonekano mpaka approach. Atulie kidogo. Atafakari. Japo hatashinda naamini ataleta msisimko japo hautafikia ule wa mamvi 2015. Na cha muhimu zaidi, azingatie sana amani na utaifa wetu. Aliokuwa anawabembeleza watunyime misaada siyo watu wema hata siku moja....
View attachment 1527793