moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahaha leo ninge upo kwenye mood ya kipekeeAmekaa kipigaji pigaji tu
Tatizo ni nini hasa?Watu 200,000 wamepoteza makazi jijini BeirutView attachment 1527906
Na hilo ndio tatizo linapoanzia,halafu hali ipo tofauti sana mtaani,wanajiaminisha huko Twitter ili hali mtaan hali haipo hvyo, na je watanzania wangapi ni watumiaji wa Twitter? Ukiangalia wengi wao wanaopiga kelele huko Twitter ni vijana tu na sio wapiga kura, wapiga kura hata Twitter hawaifahamu...
Anguko la huyu jamaa nalo linahitaji mjadala?
Yale yale ya wajumbe!!
Rekodi safi sanaKevin De Bruyne
Kiungo wa Manchester City, Kevin De Bruyne ameweka rekodi ya kuhusika katika mabao 100 ya Ligi Kuu katika mechi 155 alizocheza, akifunga mabao 35 na kutoa asisti 65.
Pia msimu huu ameweka rekodi ya kutoa asisti 20, ambazo zinamfanya kufikia rekodi ya Thierry Henry aliyefanya hivyo msimu wa 2002/03.