Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza anatakiwa aache jazba,kukurupuka kujibu kila kitu Twitter. Pili japo anahitaji ila si kwa sasa sympathy ndio ngao yake kubwa kwa kipindi hiki nadhan keshajua kaigeuza kuwa fimbo yake.
Na hilo ndio tatizo linapoanzia,halafu hali ipo tofauti sana mtaani,wanajiaminisha huko Twitter ili hali mtaan hali haipo hvyo, na je watanzania wangapi ni watumiaji wa Twitter? Ukiangalia wengi wao wanaopiga kelele huko Twitter ni vijana tu na sio wapiga kura, wapiga kura hata Twitter hawaifahamu...


Anguko la huyu jamaa nalo linahitaji mjadala?

Yale yale ya wajumbe!!
 
Mpaka sasa imethibitishwa Watu mia moja wamepoteza maisha.

Beirut
Lebanon
FB_IMG_1596617544282.jpg
 
Na hilo ndio tatizo linapoanzia,halafu hali ipo tofauti sana mtaani,wanajiaminisha huko Twitter ili hali mtaan hali haipo hvyo, na je watanzania wangapi ni watumiaji wa Twitter? Ukiangalia wengi wao wanaopiga kelele huko Twitter ni vijana tu na sio wapiga kura, wapiga kura hata Twitter hawaifahamu...


Anguko la huyu jamaa nalo linahitaji mjadala?

Yale yale ya wajumbe!!
Bado mgonjwa. Kimwili na hasa kisaikolojia. Inabidi atafutiwe mabingwa wa saikolojia/akili kuweza kumsaidia. Amepitia magumu sana kwa miaka hii mitatu. Ana hasira. Jazba. Na kujiona kuwa yeye ndiye yeye. Kuropoka kwa kila jambo. Wamsaidie. Kuanzia mwonekano mpaka approach. Atulie kidogo. Atafakari. Japo hatashinda naamini ataleta msisimko japo hautafikia ule wa mamvi 2015. Na cha muhimu zaidi, azingatie sana amani na utaifa wetu. Aliokuwa anawabembeleza watunyime misaada siyo watu wema hata siku moja....
2.3680675614022021E18.jpg
 
Back
Top Bottom