Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I have insecurities of course, but I don’t hang out with anyone who points them out to me.
Kama kweli vile, kumbe poti mwenyewe alikuwa kamanda wa Gwaride la Chipukizi enzi hizo wakati CCM inazaliwa uwanja wa Nyamagana. 😆😆October niko huko. Ubishi wa nini? Tukutane kamanda. Ya nini uandikie wino na mate yapo? Tena tutamuomba na Anonimazi foreva awepo athibitishe umri wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani poti. We si uko hapa? Njoo PM uhakikishe poti [emoji16][emoji16][emoji16]Kama kweli vile, kumbe poti mwenyewe alikuwa kamanda wa Gwaride la Chipukizi enzi hizo wakati CCM inazaliwa uwanja wa Nyamagana. [emoji38][emoji38]
The Don himuselfu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1527485
ZimeishaNi peni likes jamani..