Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
80% ya Chakula cha Fisi hukipata kwa kuwinda, 20% hupata kwa kula mizoga au kupora kutoka kwa Wanyama wengine kama Simba, Duma baada ya kuwinda.
Maisha Bwana ni jinsi unavyotaka/unavyoyachukulia mwenyewe yawe. Huyu mwamba inaonekana kwake yeye anaishi maisha ya furaha na kuridhika sana na hali yake aliyonayo. Kama akili yake haijatangulia mbele dakika tano basi atakuwa na maisha ya raha sana. 😁😁The Don himuselfu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 1527485
Wafuasi wake watakutolea mapovuuuuu[emoji23][rmoji23][emoji23]Ila jamaa sio presidential material kabsa