Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inasikitisha maana hawa wadau wote waliokua wakitoa elimu bure Youtube, kwasasa hawataweza mpaka wailipe serikali laki 6 kwaajili ya leseni, na pia watafute tin no na sajili zingine za kitaasisi au kampuni.

Wakiendelea kutoa elimu, wanaweza kufungwa au kutakiwa kulipa faini 5M.
 
Nyie nanyi bana dah! Mambo mengine ni madogo muwe mnayaacha tu. Siasa ni mchezo wa kufanya cost and benefit analysis. Kweli umma utafurahia nyie kuongezea sijui ubeti kwenye huo wimbo wa taifa? Kama jibu ni ndiyo basi mko sahihi. Kama jibu ni hapana basi acheni tu. Na vitu vidogo kama hivi mgombea urais aviache sasa. Hivi ni level ya akina Makene. Wanaweza kufafanua. Siyo kila kajambo hata ambavyo havina vichwa wala miguu anavirukia. Anaweza kuwapa maoni yake vijana akina Malisa, Yericko au msemaji wa chama Makene wakatoa ufafanuzi....

Siasa ni fani kama fani nyinginezo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…