Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400015900085_238920.jpg
 
Nyie nanyi bana dah! Mambo mengine ni madogo muwe mnayaacha tu. Siasa ni mchezo wa kufanya cost and benefit analysis. Kweli umma utafurahia nyie kuongezea sijui ubeti kwenye huo wimbo wa taifa? Kama jibu ni ndiyo basi mko sahihi. Kama jibu ni hapana basi acheni tu. Na vitu vidogo kama hivi mgombea urais aviache sasa. Hivi ni level ya akina Makene. Wanaweza kufafanua. Siyo kila kajambo hata ambavyo havina vichwa wala miguu anavirukia. Anaweza kuwapa maoni yake vijana akina Malisa, Yericko au msemaji wa chama Makene wakatoa ufafanuzi....

Siasa ni fani kama fani nyinginezo....
Well said bro ndio maana wanajibu wengine
FB_IMG_1596659641494.jpg
 
Well said bro ndio maana wanajibu wengine View attachment 1528308
Siasa ni makalikyulesheni bro. Hata kama wanajibu wengine, swali linabakia pale pale. Kuna faida yo yote ya kufanya hivyo? Ni publicity nzuri kwa chama kuongezea beti kwenye wimbo wa taifa? Kuna faida yo yote ya kufanya hivyo kimkakati hasa wakati huu wa uchaguzi?
 
Siyo ubahiri, mi nimemulewa sana, tabia ya kusajili wachezaji wapya zaidi ya watano kila msimu inavuruga umoja wa timu na kuharibu vipaji vya wachezaji.
Timu ya Simba ya sasa haihitaji mabadiliko makubwa.
Sana sana unaongeza wachezaji wawili au watatu tu
 
Back
Top Bottom