Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
400019700056_287080.jpg
 
Sana yaan[emoji28][emoji28][emoji28].
One time shirika flani nilikaimu nafasi ya admin vile alikuwa likizo. Na boss mkuu alikuwa na utaratibu wa kwamba kuwaweka safe staff mojawapo ni kuziweka hizo zana kwenye magari na vyooni. Kwhy kila jtatu ilikuwa inafanyika hivyo basi nilikuwa napata simu nyingi sana za staff wengine wahenga kbs na familia zao wanaomba niwafungie zao pembeni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Za vyooni ilikuwa zikiwekwa tu, hazifiki jioni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jirani ujue watu wanapenda sana ule udambwi dambwi wa kuchezeana[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom