myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Hapo sasa....Mwezini hakuna upepo. Hiyo bendera ilikuwa inapeperushwa na nini? Kuna wanaoamini kuwa hawa jamaa hawakwenda mwezini bali kila kitu kilifanyika katika jangwa la Nevada lengo likiwa kuwapanikisha Warusi [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi sana...[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1528874
Lete uhondo., elimuMatango yanashika nafasi ya nne kwa kulimwa katika aina ya mbogamboga zinazolimwa duniani kote na tunda hili linafahamika kuwa miongoni mwa vyakula bora kwa afya yako maranyingi yanaitwa superfood.
Sawasawa...3.Huondoa sumu mwilini(toxins)Maji yaliyopo kwenye matango huwa kama fagio ambalo linasafisha uchafu wote ndani ya mwili,Ulaji wa matango mara kwa mara huyeyusha mawe kwenye figo(dissolve kidney stones)