8.Juice ya matango inatibu na kuondoa harufu mbaya kweny fizi zllizodhofika na magonjwaChukua kipande cha tango na ubonyezee kwenye ukuta wa mdomo wako kwa ulimi wako kwa muda wa dakika moja,pythochemicals ambazo zipo kwenye tango zitaua bacteria waliopo mdomoni mwako ambao wanasababisha harufu mbaya
10.Matango yanaongeza afya ya joint zako na kuondoa maumivu ya kwenye magoti na arthritisKwa maana yana silica nyingi yanapochanganywa na karoti kutengeneza juice yanaondoa maumivu ya magoti kwa kushusha level ya uric asidi
11.Inatibu kabisa hangoverKuepuka kuumwa kichwa asubuhi au hangogver unaweza ukatafuna vipande kadhaa vya matango kabla ya kwenda kulala,Matango yana vitamin B ya kutosha ,sukari na electrolyte ambayo inalishe za muhimu ambaz zinasidia kuondoa hangover na maumivu ya kichwa
13.Yanasaidia kupambana na kansaMatango yana secoisolariciresinol,lariciresinol na pinoresinol,vitu hivi vitatu husaidia kupambana na kansa ya titi,kansa ya mfuko wa uzazi,tezi dume, na kansa ya yai la kike(ovarian)
14.Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti preshaMatangoa yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,Pia matango yana madini ya potassium na magnesium na fiber ,vit hivi husaidia kudhibiti presha