Tatizo nini kwako hasa, Kusema Tz kuna Corona? Nani amethibitisha hilo la kutokuwapo Corona?
Kuvaa ama kutoavaa barakoa si jawabu la kuwapo ama kutokuwapo kwa Corona.. Waziri wa Afya akizungumza alisisitiza kuchukua tahadhari, WHO pia walisistiza tujiandae kuishi na Janga hili!
TL kasema kweli juu ya kuficha taarifa za ugonjwa huu .. wote sisi ni mashahidi!
Hakuna aliye na taarifa sahihi juu ya hali ya CoronaTZ na hivyo kusema ipo ama haipo ni sahihi sababu yote ni majibu!.
No hard feelings
#NiYEYE