Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yuzilesi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tanzania kwa sasa habari za corona wengi hawazipendi japo tunayo tunajipa moyo tumeishinda sasa kwenda kuifukua upya. Ni sawa na lowassa kusema ccm oyee kwenye kampeni za ChademaYuzilesi [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?????????
Hata kama ipo lakini madhara yake siyo kama wengi walivyotegemea. Binafsi naona kama vile Mungu Ametuepusha na bomu kali sana kwa sababu yangetimia yaliyokuwa yanasemwa kweli watu wangekufa sana. Labda kama bado inakusanya nguvu.Tanzania kwa sasa habari za corona wengi hawazipendi japo tunayo tunajipa moyo tumeishinda sasa kwenda kuifukua upya. Ni sawa na lowassa kusema ccm oyee kwenye kampeni za Chadema
Yesu ama? [emoji16][emoji16][emoji16]Yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeeleza vizuri mno.Hata kama ipo lakini madhara yake siyo kama wengi walivyotegemea. Binafsi naona kama vile Mungu Ametuepusha na bomu kali sana kwa sababu yangetimia yaliyokuwa yanasemwa kweli watu wangekufa sana. Labda kama bado inakusanya nguvu.
Pamoja na hayo hata juzi kwenye mkutano mkuu mwenyewe anapendekezwa kuwa mgombea sikuona mtu aliyevaa barakoa wala kufanya social distancing. Au pengine sikuona vizuri...
Hapa nilipo kwa sasa Korona imepamba moto vibaya sana lakini ukitoka nje huwezi kujua kama kuna Korona. Maisha yanaendelea. Lockdown imeshindikana na nadhani imefikia mahali ni kila mtu kupambana kivyake. Ukitaka barakoa vaa. Usipotaka acha lakini wanatangaza kila siku maambukizi mapya na vifo lakini naona kama vile watu hawajali tena. Kinachosubiriwa ni chanjo ambayo wanasema itakuwa tayari kufikia Desemba. Na tarehe 24 mwezi huu shule zinafunguliwa japo wazazi tumepewa option ya watoto kujifunza online lakini asilimia 84 ya wazazi wamechagua watoto kurudi shuleni physically.
Hata kama ipo lakini madhara yake siyo kama wengi walivyotegemea. Binafsi naona kama vile Mungu Ametuepusha na bomu kali sana kwa sababu yangetimia yaliyokuwa yanasemwa kweli watu wangekufa sana. Labda kama bado inakusanya nguvu.
Pamoja na hayo hata juzi kwenye mkutano mkuu mwenyewe anapendekezwa kuwa mgombea sikuona mtu aliyevaa barakoa wala kufanya social distancing. Au pengine sikuona vizuri...
Hapa nilipo kwa sasa Korona imepamba moto vibaya sana lakini ukitoka nje huwezi kujua kama kuna Korona. Maisha yanaendelea. Lockdown imeshindikana na nadhani imefikia mahali ni kila mtu kupambana kivyake. Ukitaka barakoa vaa. Usipotaka acha lakini wanatangaza kila siku maambukizi mapya na vifo lakini naona kama vile watu hawajali tena. Kinachosubiriwa ni chanjo ambayo wanasema itakuwa tayari kufikia Desemba. Na tarehe 24 mwezi huu shule zinafunguliwa japo wazazi tumepewa option ya watoto kujifunza online lakini asilimia 84 ya wazazi wamechagua watoto kurudi shuleni physically.
Asante bro!!Hata kama ipo lakini madhara yake siyo kama wengi walivyotegemea. Binafsi naona kama vile Mungu Ametuepusha na bomu kali sana kwa sababu yangetimia yaliyokuwa yanasemwa kweli watu wangekufa sana. Labda kama bado inakusanya nguvu.
Pamoja na hayo hata juzi kwenye mkutano mkuu mwenyewe anapendekezwa kuwa mgombea sikuona mtu aliyevaa barakoa wala kufanya social distancing. Au pengine sikuona vizuri...
Hapa nilipo kwa sasa Korona imepamba moto vibaya sana lakini ukitoka nje huwezi kujua kama kuna Korona. Maisha yanaendelea. Lockdown imeshindikana na nadhani imefikia mahali ni kila mtu kupambana kivyake. Ukitaka barakoa vaa. Usipotaka acha lakini wanatangaza kila siku maambukizi mapya na vifo lakini naona kama vile watu hawajali tena. Kinachosubiriwa ni chanjo ambayo wanasema itakuwa tayari kufikia Desemba. Na tarehe 24 mwezi huu shule zinafunguliwa japo wazazi tumepewa option ya watoto kujifunza online lakini asilimia 84 ya wazazi wamechagua watoto kurudi shuleni physically.
KweliUmri umeenda si haba mzee wetu Desmond Tutu View attachment 1528882
[emoji818][emoji818][emoji818]14.Husaidia kutibu kisukari,kupunguza lehemu na kudhibiti preshaMatangoa yana hormone inayohitajika na kongosho kwa ajili ya kuzalisha insulin, na pi yana compound(muunganik wa kikemikali) inayoitwa sterol ambayo husaidia kudhibiti presha,Pia matango yana madini ya potassium na magnesium na fiber ,vit hivi husaidia kudhibiti presha
Hongera wakulima
Hahahahaha, hawezi kupata jibu hapo
Hata mimi ningeenda mahakamani