mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kiwanda cha punda maana yake kwamba kinasindika minofu ya mnyama punda au ....?Kuna kiwanda cha punda hivyo huwa wanafuata mabaki dampo ndio maana wamekuwa wengi. Na hii inatokea sana mitaa ya kuanzia bugweto na kuendelea. Huku tulipo sisi pako shwari kbs.
[emoji120][emoji120]Good morning Tanzania
[emoji120][emoji120][emoji120]Habari za asbh Tanzania
[emoji120][emoji120][emoji120]Tumshukuru Mwenye enzi Mkuu Mungu kwa kuiona siku hii ya leo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Wengi walitamani kuiona siku hii ya leo lakini hatunao tena
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hatuna cha kumlipa zaidi ya kumwabudu yeye tu
[emoji120][emoji120]Ijumaa Kareem
Bado hawajajipangaSidhani Kama CDM wamejipanga kukuchukua nchi
AsanteMuwe na siku njema wote