Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Muda mfupi baadae, MV Rhosus ''ilitelekezwa na wamiliki wake.
Muda kidogo baadae, MV Rhosus "ilitelekezwa na wamiliki wake kuonesha wasiwasi kuwa hawahitaji tena mzigo", kulingana na wanasheria.
Wakati huo huo, bado wafanyakazi walikuwa wamezuiwa kwenye chombo hicho walikuwa wakikosa chakula na mahitaji mengine.
Mawakili hao walisema waliomba kwa Jaji wa Masuala ya dharura huko Beirut atoe amri ya kuwaruhusu warudi nyumbani, wakisisitiza "hatari ambayo wafanyakazi walikuwa wakikabiliana nayo kwa kuzingatia" hatari "ya shehena ya mizigo" kwenye meli.