Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Zuma kwenye memes katuokoa sana. Sijui kesi zake za ufisadi zimefikia wapi. Ilifika mahali mpaka watu wa kawaida wakawakemea akina Malema kuwa wanamdhalilisha na kwamba kama angekuwa mzungu chapa ya akina De Clerk wasingeweza kumfanyia hivi...
Kuna mmoja kazaliwa 1992 anaringa huyo kumbe 2022 tu hapa anauvuka ule mstari wa Ikweta [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakudunde? Kama una bahati labda. Kuna mabaya zaidi ya hayo [emoji51][emoji51][emoji51][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1530109
Weekend vibes eeh? 😁Kill me, heal me
Limeli lenyewe libovu likuukuu ndiyo maana jamaa walilitelekeza....Hawa nao wakachukua tani zote na kuzirundika ghalani...Serikali haijaeleza kemikali hiyo ilipotoka, lakini kiasi hicho hicho cha kemikali kiliwasili Beirut mwezi Novemba mwaka 2013 katika meli ya mizigo ya iliyokuwa na bendera ya Moldova, MV Rhosus.
Chombo hicho kinachomilikiwa na Urusi kilianza safari mwezi Septemba kutoka Batumi, Georgia kwenda Beira, Msumbiji.