moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
DomoPesaaa sabuni ya rohoooo....
View attachment 1530446
Na kwako piaAsubuhi njema
Amun RaMungu atupe afya na uzima
Amun RaMungu atupe siku njema
Hahaha Lakini Nimeona ametoa sababuSi ajabu atasema Trump ndiyo sababu [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1530451
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1530454
HahahaHii ndiyo Afrika.
Mpaka karantini zikiisha barani Ulaya utajua kupika vyakula vyote vya bara hiliView attachment 1530581
Wakati anapiga pesa Simba tulikuwa Wadau wake wa Karibu sana tuliangalia mbele afanye nini mpira wa bongo una mwisho mbaya utakaa unanunuliwa Bia mpka Kreti tano baa ukiwa kwenye peak yako plus mashangingi ya Dar my bro unapotea Mwamba wa Lusaka mwaka juzi yalimkuta Haya Wadau tunampenda ikabidi kuingilia Kati mpira wake ungepotea kuna shangingi moja lilitaka kumuharibu Mchezaji wetuIlikuwaje!!?